Heshima kwenu wakuu,, ,natafuta Flem kwa ajili ya kuuza Nguo na urembo, kati ya maeneo haya,sinza,tabata,Ubungo, yeyote mwenye kujuwa,naomba anijuze tafadhali.iwe barabarani.
Natanguliza shukrani zangu!

Sina uhakika kama "FLEM" zinapatikana hapa nchini, ila kama una maanisha "Frame" kwa ajili ya biashara kuna wakuu wanaconnection na wafanyabiashara watakusaidia.