Natafuta field practical training ya mechanical engineering mwaka wa kwanza sehemu yeyote kati ya dar na mwanza kama unaweza kunsaidia tafadhari naomba uni pm
.... Unasoma chuo gani kiongozi
.... Basi tembelea sehemu za mgodi
Nenda nyanza bottling pale au tbl utapata.
Natafuta field practical training ya mechanical engineering mwaka wa kwanza sehemu yeyote kati ya dar na mwanza kama unaweza kunsaidia tafadhari naomba uni pm
Nenda tazara hawakosagi nafac
Asante mkuu ila mgodini kuingia sahivi sidhani
..... Basi jaribu pale Twiga Cement - Wazo Hill