M magesa77 Senior Member Joined May 22, 2011 Posts 123 Reaction score 15 Apr 29, 2015 #1 Wana JF wenzangu, Natafuta engine iliyo katika ubora ya gari Toyota Starlet - Half Engine Corolla E5 kwa hapa Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali ani pm au anijuze kupitia 0689 101177 au 0757 393623. Asanteni!
Wana JF wenzangu, Natafuta engine iliyo katika ubora ya gari Toyota Starlet - Half Engine Corolla E5 kwa hapa Dar es Salaam. Mwenye nayo tafadhali ani pm au anijuze kupitia 0689 101177 au 0757 393623. Asanteni!
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,943 Reaction score 808 Apr 29, 2015 #2 Nenda Tandale wanakatakata Magari utapata kwa bei rahisi