Habari wakuu, engine ya gari yangu ina matatizo,hivo nmeamua kutafuta nyingine, gari ni ya mwaka 1996, engine ya 4,600 cc, HSE ( high specified edition). Kwa anaejua wapi naweza pata ntashukuru sana.