Natafuta Engine Control Box for Mark X

Natafuta Engine Control Box for Mark X

Positive

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
95
Reaction score
15
Wakuu, Natafuta Engine control box for Toyota Mark X. Engine number 4GR-FSE Control box number 89666 - 22070 Denso . Mwenye nayo naomba awasiliane nami
 
Nenda kwenye vituo vya polisi, ukiona mark x imekamatwa, mpe elfu 20 askari yoyote akung'olee hiyo kontrol box.
POLISI NI WALIMU WA MAJAMBAZI
 
Kaka khaaa. Hapana. we kiboko lakini sikuwezi. Hilo tendo sio sahihi kabisa. Nalipinga
 
duh! yaani hapa labda useme unataka nyumba ya kupangisha. Hivi wauza magari hawatembelei hapa?
 
Wakuu, Natafuta Engine control box for Toyota Mark X. Engine number 4GR-FSE Control box number 89666 - 22070 Denso . Mwenye nayo naomba awasiliane nami

Wazee wa Power Window walipita nini?
Maana hizo ndo gari zao, na hivyo ndo vifaa vyao!!
 
Mkuu, post tangazo lako hapa http://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
Like page kisha rusha tangazo lako utapata unachokitaka!

The problem with that facebook Group ni mpaka uombe iwe approved. Sio ya ku like. Anyway nipostie basi kasha waambie simu ni 0768 224 007 Wakuu, Natafuta Engine control box for Toyota Mark X. Engine number 4GR-FSE Control box number 89666 - 22070 Denso . Mwenye nayo naomba awasiliane nami
 
Hapo kariakoo umejaribu kwenda??Manake vifaa vya Toyota si haba pale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom