Maeneo ya vijijini unapata.
Nilionyeshwa kiwanja/shamba maeneo fulani ya Pwani ndani ndani...unafika Mbagala rangi tatu alafu unaingia ndani kwa mwendo kama wa saa nzima hivi na robo au nusu...ukubwa wa eneo na bei yake unapata maeneo ya laki tano tano kadhaa yanayotosha makazi ya Mtu na eneo baki la kujinafasi.