Yaani binadamu, wewe mwenzio anakuambia anatafuta eneo, badala ya kuweka offer yako hadharani unamwambia aku pm ndo nini sasaNi pm nipo kibaha
Hio ni gharama ya kukodi au kuuza eneo.Lipo heka moja, Mlandizi kijiji cha Kikongo "chekereni" kilometa 7 kutoka Morogoro road. Miundombinu ya umeme na maji iko umbali usiozidi mita 100 kutoka kwenye shamba.
Tsh. 3,500,000
Gharama ya kuuza. Ni eneo tambarare lina miti kadhaa ya mikoroshoHio ni gharama ya kukodi au kuuza eneo.
Kama ni kukodi hio ni gharama ya miezi mingapi ?
Lina ukubwa gani bossGharama ya kuuza. Ni eneo tambarare lina miti kadhaa ya mikorosho
Huo ni ule upande kama unaelekea shule ya kilanga langa ?Heka moja
kuna hekari tatu na robo kongowe dakika 5 kutoka morogoro road ni barabarani kabisa umeme na maji vipo 0744426662Ndugu wanajamvi,
Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo litakuwa karibu na umeme na maji.
Ahsanteni.
Mkuu mimi ninazo ekari tano zipo kongowe kijiji cha soga maeneo ya mradi wa reli ya kisasa unakojengwa (railway standard gauge) Kilimeta 7 kutoka kongowe mwisho na miundo mbinu mhimu kama vile maji, umeme, barabara nzuri na safi zinapatikana na huduma za kijamii kama vile zahanati zipo na eneo lenyewe lipo karibu na shule ya sekondari. Bei ya ekari moja ni shilingi milion sita (6,000,000) ila maongezi na punguzzo yapo mkuu. nitafute kwa namba 0717330230Ndugu wanajamvi,
Nilikuwa natafuta eneo la shamba ambalo liko katika miundombinu ya umeme na maji maeneo ya kibaha. Sio lazima iwe karibu na barabara kuu, hata likiwa ndani itakuwa poa endapo litakuwa karibu na umeme na maji.
Ahsanteni.
Ndio kwenye eneo la viwanda?Lipo heka moja, Mlandizi kijiji cha Kikongo "chekereni" kilometa 7 kutoka Morogoro road. Miundombinu ya umeme na maji iko umbali usiozidi mita 100 kutoka kwenye shamba.
Tsh. 3,500,000
Bei tshs ngapi mkuu?kuna hekari tatu na robo kongowe dakika 5 kutoka morogoro road ni barabarani kabisa umeme na maji vipo 0744426662