Natafuta duka la pamba original hapa dar

Natafuta duka la pamba original hapa dar

Kuna bwana namuonaga insta huko inasemekana ana pamba og... nyingi naonaga ni perculiar

Sent from my iPhone using JamiiForums
sijaenda shule baba perculiar manake nini
 
Mkuu kama wewe matawi fika tu pale mlimani city utapata hivyo vyote, ukienda maduka haya ya mtaani wanauza zilezile za Kariakoo kwahyo hizo waachie akina billnass na kina dogo janja
mlimani siti wachovu tu tai inayouzwa 10,000 kwengine wao wanauza 60,000 mi nitoe hela nyingi kisa mtu analipa pango hela nyingi.Sio kwamba wana pamba nzuri wanajua kuna watu hawawezi kwenda kubanana kariakoo kwa kina kajamba nani eti wananunua nguo.
 
Soma vizuri mstari Wa kwanza kwenye comment yangu utakuwa umeelewa
 
Tanzania hakuna maduka hayo, vitu vingi ni counterfeit, na Sheria zetu si dhaifu bali ni legevu, zinaruhusu wizi wa intellectual properties za watu. If you want to step up your game, take flight to SA, Jozi you will get what you want. Otherwise, kibongo bongo ni mchina kwa kwenda mbele
Hata Jozi Mchina yupo..Bongo ni ngumu kupata mzigo wa peke yako sababu wabongo wanaenda kununua nguo sehemu moja huko China, ukithubutu kuleta mzigo wako wa kipekee 90% utatoda nao huo mzigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom