Natafuta duka la pamba original hapa dar

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
13,189
Reaction score
20,637
Habari za jioni wadau poleni na majukumu.Mimi naomba kujuzwa maduka yanayouza pamba kali na original.Sitaki nguo mdosho ambazo zimezagaa kila mtu anayo mtaani.Pia nilikuwa naulizia ninapoweza kupata boot original za Timberland sio haya feki wanayovaa mabrothermen mtaani ambayo ukiyavaa mwezi tu yamechanika.Kwa kifupi nataka niyajue maduka yanayouza jeans,boots,mashati na Jackets za ukweli kwa hapa dar.Kwa upande wa boots nataka boot kama hilo hapo chini
 
Attachments

  • 1_272093_MD_BROWN.JPG
    1_272093_MD_BROWN.JPG
    9.8 KB · Views: 64
Mkuu kama wewe matawi fika tu pale mlimani city utapata hivyo vyote, ukienda maduka haya ya mtaani wanauza zilezile za Kariakoo kwahyo hizo waachie akina billnass na kina dogo janja
 
yaani mkuu kila duka unaloenda manguo ni hayohayo tu.
 
Kwani wewe umetoka wapi ambako Nguo hazifanani kabisa? Sisi tushazoea kuvaa uniform hapa kwa jijini kwa Prof Asad
Kuna nguo at least sio kila mtu anayo babu ila nyingine katika watu kumi wanne wanayo
 
Tanzania hakuna maduka hayo, vitu vingi ni counterfeit, na Sheria zetu si dhaifu bali ni legevu, zinaruhusu wizi wa intellectual properties za watu. If you want to step up your game, take flight to SA, Jozi you will get what you want. Otherwise, kibongo bongo ni mchina kwa kwenda mbele
 
Habari za jioni wadau poleni na majukumu.Mimi naomba kujuzwa maduka yanayouza pamba kali na original.Sitaki nguo mdosho ambazo zimezagaa kila mtu anayo mtaani.Pia nilikuwa naulizia ninapoweza kupata boot original za Timberland sio haya feki wanayovaa mabrothermen mtaani ambayo ukiyavaa mwezi tu yamechanika.Kwa kifupi nataka niyajue maduka yanayouza jeans,boots,mashati na Jackets za ukweli kwa hapa dar.Kwa upande wa boots nataka boot kama hilo hapo chini
Nenda Woolworths(w stores).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hakuna maduka hayo, vitu vingi ni counterfeit, na Sheria zetu si dhaifu bali ni legevu, zinaruhusu wizi wa intellectual properties za watu. If you want to step up your game, take flight to SA, Jozi you will get what you want. Otherwise, kibongo bongo ni mchina kwa kwenda mbele

Yaaani mkuu kwenye mtumba japo imeshavaliwa lakini unakuta kuna vitu vizuri tu kama ni viatu utavaa hata mwaka lakini dukani mavitu ni ya kufoji tu kama usemavyo.Yaani unakuta made in china ya mtumba ni bora kuliko made in china ya kiduka
 
Huko awaachie wakina kichere wa TRA wanaovaa Levis org,kwenda w/worth akakuta t-shirt ni sh.75,000 asishangae ni bei ya kawaida hio.

Sent from my iPhone using JamiiForums
mkuu kitu kama chenyewe nimekifagilia niko tayari kulipa any price
 
Kuna bwana namuonaga insta huko inasemekana ana pamba og... nyingi naonaga ni perculiar

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom