Natafuta Drivers za Windows 8 For Hp 655

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,702
Habari wakuu,
Nina laptop hp 655 & windows 8 genuine. Kuna tatzo kwenye wifi, wlan na network. Wifi hai function probably cz kuna drivers zina miss. Naombeni mnishauri ni wapi ntapata driver zake ili iweze ku function vizuri. I'm having a problem with connecting with the internet plus bluetooth nayo ime pata tatzo hai respond. Naombeni msaada wenu.

Thanks in Advance.
 

mkuu hapo tusaidiane sasa...jibu haya maswali...je hiyo win8 imekuja humo kene pc?nakama haikuja uliweka je?elezea hapa... afu ntaona vp kukusaidia
 
mkuu hapo tusaidiane sasa...jibu haya maswali...je hiyo win8 imekuja humo kene pc?nakama haikuja uliweka je?elezea hapa... afu ntaona vp kukusaidia

Nilinunua hyo laptop brand new....yap win 8 imekuja nayo humu kwenye pc ingawa kuna CD ya win 8 nimepewa pia....nika install mambo mengne vizuri sasa hapo kwenye wifi, network na wlan zkawa zina tatzo kidogo hazi function...nikajua kuna drivers zina miss hence niza ku download. Ndio nikaomba mnielemishe juu ya hili.

Thanks Mkuu.
 
sasa computer mpya, preinstalled inakosaje driver?? wao wenyewe wameikosa utaipata wewe kweli?
iangalie hiyo computer yako, nyuma. kama device yenyewe ni realtek wireless card , hiyo card ni takataka. tafuta alternative kama vile usb wireless device. hiyo case ni kama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…