Natafuta dereva

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
278
Reaction score
466
Habari

Nahitaji dereva ani'train kwa vitendo kuendesha 'sinotruk howo' (hasa zile dumptuck).

Au kama yupo mdau unamfahamu mwenye 'access' ya kupata hilo gari na kujifunzia kwa wiki moja, tafadhari naomba niunganishe nae.

Nipo Dar es salaam. Malipo tutaelewana.
Mawasiliano 0626 876 896

Asante.
 
Kwa nn unapata shida boss,
Kama una leseni ya E au C1, C2, C3,
Nenda N.I.T. usome coz ya udereva wa hizo truck,
Ada ni 515k... Unatoka na cheti chako saaaaaaafi kabisa!!

Kwa nn upite vichochoroni kujifunzia?
 
Kwa nn unapata shida boss,
Kama una leseni ya E au C1, C2, C3,
Nenda N.I.T. usome coz ya udereva wa hizo truck,
Ada ni 515k... Unatoka na cheti chako saaaaaaafi kabisa!!

Kwa nn upite vichochoroni kujifunzia?
Ni kweli mzee,ila ni dharura nafukuzia kazi.
 
Nicheck PM kuna sister yuko sawa sana kwenye hayo magari
 
Dah...nimekuja kasi na leseni yangu nikijua Kuna connection 😳😳😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…