Natafuta dereva mzoefu

Yohana Yared

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
9
Reaction score
1
Habari wanajukwaa,

Fursa natafuta dereva mwenye uzoefu wa kutosha nina gari aina ya Noah aje nimpe aniletee hesabu kwa siku 40,000. Au kama una hotel, shule, kampuni wanaohitaji gari aina ya Noah njoo tuongee.

Mawasiliano: 0764888544 or 0714808918
 
Uber xl inafanya uwa zinakazi sana Noah kama utapata dereva mzoefu wa biashara za magari nenda airport pale kuna jamaa wanafunga siku na mpaka laki tatu

hahahah hii inaonesha wazi unaelezea kitu kwa kusikia kwa watu yaani kuambiwa xaaa mkuu kama unajua Airpot wanalaza mpaka laki 3 na unatafta gari kaka kwann usichukue hahaha naww ukalaze laki 3 pale Airpot
any way natania kaka kaz ya gar kubwa ngum na hapo Airpot connection yake xio ya kitoto kupata kijiwe utaambiwa mpaka milion kama huamin nenda
 
Ndomaan nikasema ukipata mtu mzoefu na izo Noah ndugu hiyo ni ngumu ata kwangu lakini wapo watu wanauzoefu na nikakutolea mfano hapo airport kuna watu nawafahamu wanafanya kazi na izo gari na kwamadai yao wanaingiza iyo pesa japokua sio kila siku ila Mimi natafuta ninayoiweza ambayo nnauzoefu nayo sio Noah
 
Nlikua na dereva mzuri mnooo sema kqpata kazi kubwa sana nikamwambia aende tu japo nlitaman aendelee kufanya kazi alikua analeta 40k per hajawai kumiss hata siku moja mpk kuna baadhi ya jpili nikawa namuachia alikua smart na mwenye akili sana na alikua smartworker kwa alichokua anafanya ni kuwa na connection na hotel karibia zote hapa mjini kwa siku alikua hakosi vichwa zaidi ya vinne kupeleka airport ambapo kutoka kariakoo mpk airport ni 35 fanya mara 4 ni sh ngap??? Acheni uvivu wa kufikiria kwa ambao mnaona haiwezekani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…