Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!

Dawa ipo kwenye jina unalotumia - Vodka. Ukiona hii ya warusi ni aghali njoo nikupeleke Kitunda Nyantira kuna local Vodka. Ukipata kidogo tu hata kiingereza kinanyooka na unaweza hata kumwaga sera kwa ung'eng'e pia.

...Ni kweli ila yule uliyempenda sana mbaya zaidi unamheshimu sana naye anajiheshimu sana..Zile swaga za madem wa kawaida unaziona ni za kizembe vibaya.