Ivilikinge
Member
- Jun 15, 2009
- 29
- 1
Ngoma negative,sina syphilis wala gono ila nimeambiwa ni herpes simplex cjui nimetumia sana acyclovir tabs and cream lakini hakuna kitu,nimekaa nao miaka miwili nahisi niliupata through sex,mimepima sehemu kama mia kaka na vikatasi vingi vimepotea sasa kusema nikupe majibu ningumu haya naombeni msaada wenu jamani
WE mwanamke au Dume....??Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
email yangu:bulongwa@yahoo.com
Pole sana!
Chamuhimu usiendelee kufanya ngono nzembe bila kinga maana utaambukiza wengine. Thats is viral infection, caused by both herpes simplex virus 1 (HSV-1) and herpes simplex virus 2 (HSV-2) hizi aina hupelekea different conditions such as Herpes genitalis ama Eczema herpeticum ukichelewa kujibu hawa wadudu hushambulia hata ubongo (Herpesviral encephalitis). Kwa kuwa umesema huna ngoma basi unabahati sana. Mara nyingi wenye Herpes simplex huwa na HIV pia. Kama vipimo viko sahihi ni kutibu hiyo kitu si rahisi kama unavyojua viral diseases nyingi hazitibiki bali utapunguza mazaliano ya vimelea na magnitude ya ugonjwa.
Ushauri tumia antivirals mfano aciclovir, valaciclovir, famciclovir kupunguza maumivu na miwasho tumia dawa za kupaka mfano lidocaine or tetracaine. Usinunue dawa kwenye pharmacy za wahindi ni changa la macho, bora ungalimike upate dawa za uhakika. Made in India nyingi ni counterfeit drugs.
NB use condom always!
Masa boy!
Pole sana mzee....!
Nakutumia PM sasa hivi...kuna baadhi ya madaktari nawafahamu pale Muhimbili ....Tumaini, Regency ni wataalamu wa mambo ya urology ni vitu kama hivyo! Just go and see them, ila tu wako expensive kidogo.....!
Mh Masa hapo kwenye red kuna haja ya validation maana dawa zinavutia counterfeit ni zile za bei za juu hasa za big pharmas... ila nakubaliana na wewe kwamba dawa za india mara nyingi hazina viwango, ingawa ni real from manufacturers walio sajiliwa
dawa ya huyu bwana ni kwenda kule maabara za MUCHS au Bugando university micro na immunology... kuna jamaa wanafanya very good lab research wana very good latest literature, akubali kuwa case watamfanyia kila test ya hao wadudu na yanayohusiana... nasema hivi kwasababu dawa za herpez zikow azi na si nyingi sna kwenye tz market lakini
Ni rahisi sana, ukienda pharmacy kama upo mjini ulizia hata panadol, watakuuliza unataka za Kenya, Keko, India ama UK? na bei inatofauti....Kenya utaambiwa lets say 200 Tshs, za Keko 100, India Shs 50 per tab na UK 1000 Shs.....hapo vipi? same kwa antimalarials......ndo maana kuna usugu wa dawa ....tunameza sub-therapeutical dosage....fake kila kitu hapo mjini
ntakubaliana na wewe kwenye ubora mkuu ila counterfeit ni imitate product kama vile Metakelfin basi jamaa wanakopi kila kitu na kuifanya ionekane imetoka ulaya... that is something different from generic product with lower qualities
sasa una-refer poor quality generics au counterfeits?
NL mshikaji ana viral infection, mziki mkubwa huo...regency wataalam wa dialysis....worth trying thou
Mkuu labda sikuweza fikisha ujumbe.....kuwa makini na poor quality na counterfeits....kuna jamaa aliumiza mtoto wake meno kwa kunywesha panadol za Keko Pharmaceutical.....washenzi wanaweka rangi na sukari mingi. Juu wameandika Panadol.......
NL mshikaji ana viral infection, mziki mkubwa huo...regency wataalam wa dialysis....worth trying thou
Proper advice kabisa masa... inabidi NL aangalie kidogo asije jamaa akatua kwa GP, hii soo ni viral na ishakua sugu... inawezekana kabisa anapata reinfection kila anapopona na kuanza kula ile kitu!!! na ndio maana nilimuuliza ameshaambukiza wangapi??
He needs to go deeper kama gonjwa yenyewe nakaa for years
Habari wana jamii forum mimi natafuta daktari bingwa hapa dar wa magonjwa ya zinaa maana naumwa sana na nimetibiwa siponi nimepima kila kitu mpaka ngoma sasa naona labda nianze na dr mpya na ujuzi mpya naombeni msaada gharama sio shida ntalipa
email yangu:bulongwa@yahoo.com