Natafuta dada wa kazi

Natafuta dada wa kazi

Majesty S P

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
62
Reaction score
87
Out of topic.

Natafuta dada wa kazi.

Umri miaka 13-25
Awe mcha Mungu.
Nyumba ipo Arusha,Mianzini.
Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5.
Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano)
Kula kulala juu ya familia.

Kwa mawasiliano zaidi +255 652 773325.
 
40,000/30 days ni sawa na 1,300 kwa siku,Hongera Mkuu kwa kutengeneza Ajira ya 1,300
 
Ruka hapo singida, hukosi binti, ila ndio hivyo ni vibinti vizuri na havijui kusema NO
 
Miaka 13 ni mtoto mdogo sana
Elfu 40?? Tena nyumba ina mtoto??

Kama unashindwa kuwa na huruma basi angalau fuata sheria za nchi!!
 
Sh 40,000 kwa mwenye mbwa shepherd ni zaidi ya hela ya msosi wa huyo mbwa kwa mwezi
 
Watanzania bwana sasa mnaona hyo hela ndogo basi tufanye
Kula kwa siku 5000×30= 150,00
Chumba kwa mwezi elfu 20,000/= minimum
Umeme na maji elfu 6000/= minimum
Jumla ni 176,000/= +40000/= total 216,000/=
Kuna watu wanafanya kazi kwa siku ni elfu 5000 kwa masaa 12 hapo nauli na kula hapo hapo pamoja na kodi tena wana bachelor mtu kasema kwa mwezi elfu 40 mnaanza nyodo ndio maana ccm haitakaa itoke madarakani kwa ujinga huu wa watu wasiochanganua mambo.
 
Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?

Mfanyakazi wa ndani alale nje na kazi afanye muda gani. Unatafuta sababu kuhalalisha unyonyaji
 
Maisha yamepanda mlima mzee 40 kwq mwezi itamsaidiaje mkuu,bora umpandishie dau japo70 ili akulindie nyumba,mtoto,awapikie,awafulie,asafishe nyumba ,
 
Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?

Mfanyakazi wa ndani alale nje na kazi afanye muda gani. Unatafuta sababu kuhalalisha unyonyaji
 
Out of topic.

Natafuta dada wa kazi.

Umri miaka 13-25
Awe mcha Mungu.
Nyumba ipo Arusha,Mianzini.
Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5.
Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano)
Kula kulala juu ya familia.

Kwa mawasiliano zaidi +255 652 773325.

Matibabu?
 
Wewe ofisi unazofanyia kazi unalipishwa maji, parking, wash room, vifaa vya stationary na umeme unavyotumia ukiwa kazini?

Mfanyakazi wa ndani alale nje na kazi afanye muda gani. Unatafuta sababu kuhalalisha unyonyaji
Mimi nimetolea mfano kama ataamua kupewa hela na kujitegemea yeye mwenyewe kwa kila kitu.
 
Nisiwe mzungumzaji sana hapa maana kumlipa mtu stahiki ya 40K kwa mwezi.
inataka huyo mtu akienda kwao umlipie nauli, na akija pia, matibabu juu yako, kula, kulala na kuvaa juu yako na mengine juu yako.

wewe boss ishi naye vizuri kama mwanakaya mwenzenu.
Siyo kumlisha viporo vya juzi na kazi afanye daaah, unachokula kizuri na yeye ale.

Binadamu tuna roho za kitofauti sana, mi napenda kuwa peace na fairly.

Hasa wanawake daah mnatesa wasaidizi wa kazi alafu baba ndiyo mtoa mshahara matko zenu nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom