Natafuta dada wa kazi za nyumbani

Natafuta dada wa kazi za nyumbani

Mbilimbi

Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
32
Reaction score
3
Natafuta dada wa kazi za nyumbani, awe anapatikana Dar es salaam na awe tayari kwenda kufanyakazi Njombe.
Aliyetayari Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73.
 
Natafuta DADA wa KAZI za NYUMBANI! Awe Anapatikana DAR ES SALAAM na Awe Tayari Kwenda Kufanyakazi NJOMBE!!Aliyetayari Naomba Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Natafuta DADA wa KAZI za NYUMBANI.Awe anapatikana DAR ES SALAAM na Awe Tayari kwenda Kufanyakazi NJOMBE.Aliye tayari tuwasiliane Kwa Namba 0763 47 47 73
 
hahahhaahah una utani
umtoe dada wa kazi dar akafanyee njombe??????
 
tupatane bei, unatoa bei gani na kwa muda gani kama mshahara?
jee nauli ya kwenda njombe? na kuna posho yoyote?
 
Mbilimbi tafuta huko huko njombe wa huku Dar ni magumash watupu kwanza hawajielewi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom