Natafuta dada wa kazi za nyumbani

Natafuta dada wa kazi za nyumbani

Mnyella

Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
43
Reaction score
6
Natafuta dada wa kazi za nyumbani,atakaefanyakazi NJOMBE,tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Taja vigezo basi..tangazo lako lipo nusu nusu.
 
Natafuta Dada wa kazi za Nyumbani,atakaefanyakazi NJOMBE.Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Natafuta DADA wa kazi za nyumbani atakaefanyakazi NJOMBE,Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Natafuta Dada wa kazi za Nyumbani,atakaefanyakazi NJOMBE,Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Natafuta Dada wa Kazi Za Nyumbani,Atakaefanyakazi NJOMBE,Tuwasiliane kwa 0763 47 47 73
 
Mimi nije ila 2doz room moko na wewe kazi zangu buree,mimi dume la mbeguu
 
Ni mjini mkuu niliwahi pita muda kidogo

Kama umeipenda kazi ondoa wasiwasi Njombe ni pazuri, hali ya hewa ni ya baridi, chakula kipo cha kutosha, kilimo kinakubali sana tu, ni sehemu iliyochangamka vizuri. ni mjini

Ooh sawa maana wanadada wa kazi sikuhizi wanataka kufanya kazi mjini .....

Apologize lady mimi sio dada bwana... niliuliza maana ninaweza kumuunganisha na wadada wa kazi ila ndo hawataki kufanya kazi sehemu ambayo haijachangamka vizuri
 
samahani kaka, nisamehe bure, mwanzo nimetania, ila nilijua umeuliza kwasababu unataka kkwenda kufanya shughuli nyingine.
 
Back
Top Bottom