M Mfaume01 Member Joined Jun 12, 2019 Posts 13 Reaction score 3 Jun 15, 2019 #1 Natafuta dada wa kazi za ndani awe mtu wa dar es salaam Nitafute kwa namba : 0656831415/0687131423
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Jun 15, 2019 #2 Akiwa mkazi wa Mkoani ila anaishi Dar hawezi kupata nafasi au hadi awe mzaliwa wa Dar?
M Mfaume01 Member Joined Jun 12, 2019 Posts 13 Reaction score 3 Jun 15, 2019 Thread starter #3 Hapana sio lazima awe mzaliwa wa hapa isipokua awe hapa dar labda alishawahi kufanya kazi akaacha hapa iwe rahisi kuliko kuagiza kutoka mbali
Hapana sio lazima awe mzaliwa wa hapa isipokua awe hapa dar labda alishawahi kufanya kazi akaacha hapa iwe rahisi kuliko kuagiza kutoka mbali
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Jun 15, 2019 #4 Kuna dada mmoja yupo huko nikipata mawasiliano yake nitakupa ni makini sana.
M Mfaume01 Member Joined Jun 12, 2019 Posts 13 Reaction score 3 Jun 15, 2019 Thread starter #5 Asante sana nichek kwa namba zangu : 0656831415/0687131423 Usichukue mda mrefu sana nauhitaj sana
goldcall JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 430 Reaction score 570 Jul 8, 2019 #6 nitafutie na mimi kama atakuwepo!