Natafuta dada kamanda

sandefs

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
264
Reaction score
33
Napenda kuwa na mdada kamanda, tubadilishane fikra kwa ukombozi wa pili wa TANZANIA. aliye huru kumove.
 
Mbona hii thread imekaa kimitegomitego?? kazi kwenu kinadada ku scrutinize
 
Kweli wewe ni mwana fikra pevu...
 
Napenda kuwa na mdada kamanda, tubadilishane fikra kwa ukombozi wa pili wa TANZANIA. aliye huru kumove. SMS 0789803484

ukisema dada Kamanda unamaanisha nini Mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…