Natafuta corolla 1,000,000

.. Jitu la Miraba minne ni pm # yako wasap ili nkutumie gari uione
 
Last edited by a moderator:
Aisee haya masihala kama pikipiki tuu ni millioni 1.7 mpya huyu ana taka gari aisee ila sijui huenda kweli yapo
 
Zipo nyingi usikate tamaa utapata,ila marekebisho kidogo mpaka ikae barabarani itahitajika walau 1m nyingine.Kwa ushauri ningekushauri utafute kama 3m utapata nzuri kidogo.
 
Zipo nyingi usikate tamaa utapata,ila marekebisho kidogo mpaka ikae barabarani itahitajika walau 1m nyingine.Kwa ushauri ningekushauri utafute kama 3m utapata nzuri kidogo.

Hapa nna moja nmeletewa ni 4mln carina 1997 imenyooka kuliko hata gari yenye #c au d yaani kna watu wanajua tunza
 
mbona hiyo hela ni ya kununulia simu ??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…