Natafuta corolla 1,000,000

Frank jb

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
418
Reaction score
122
Habari zenu wapendwa natafuta collora e90 kwa million moja, kwa mwenye nayo anijulishe kwenye 0716002323, na unitumie picha kwa whatsapp kwenye 0786188190
 
Kumbe zipo gari za mpaka million moja!!😱😱😱
 
Yapo mpaka laki tatu! Manzese mahakama ya ndizi wana ya katakata unaweza kwenda kuosha macho ukajichagulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…