Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,374
Hey.nitumie email kwenye fadh09@yahoo.com ntakujulisha
Lipo ambalo jamaa anatumia kama duka utaliitaji limeshakatwa kabisa lina na bati juu
yapo yanauzwa 2.5 milioni ki;a moja hapa dar nitafute kwa no yangu ya simu ya mkononi 0717958432.
Hata na kama kuna mwingine yeyote mwenyekuhitaji tuwasiliane.
Weka bei hadharani mkuu! Tahadhari: Nunua kontena lenye documents.
Vp ulipata kontena mkuu? Tafadhali leta mrejesho!
Elli ulipata kwa kiasi gani? na mimi nafikiria kununua moja mkuu
ilikua futi 20 kwa shilingi million nne na nusu Mpwa
ilikua futi 20 kwa shilingi million nne na nusu Mpwa
Kweli wafanyabiashara wanapata faida sana container ft 20 kwa 4.5ml!!!hao jamaa wanaponunua mzigo nje wananunua pia container ili uwekee mzigo wako (ukipenda)wanapata container safi lenye cheti cha kusafirishia mzigo kwa laki 8.5,(container haliwezisafirishwa melini likiwa na mzigo kama halina ubora)baada ya kulifikisha Dar wanatoa mizigo yao..Sikujua kama container ni dili hivi!!!!