comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,611 May 3, 2014 #1 Wakuu msaada wenu ni mafanikio kwangu.. Natafuta clearing agent wa magari ambaye hababaishi.. Contact info zitasaidia zaidi shukrani...
Wakuu msaada wenu ni mafanikio kwangu.. Natafuta clearing agent wa magari ambaye hababaishi.. Contact info zitasaidia zaidi shukrani...
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 May 3, 2014 #2 Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
PgSoft2008 JF-Expert Member Joined May 15, 2008 Posts 264 Reaction score 73 May 3, 2014 #3 Osaba said: Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app Click to expand... si kuna uzi unaowalalamikia humu? kaka subiri watakuja wenyewe
Osaba said: Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app Click to expand... si kuna uzi unaowalalamikia humu? kaka subiri watakuja wenyewe
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,563 Reaction score 112,205 May 3, 2014 #4 Osaba said: Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app Click to expand... mimi ushauri wangu aagize gari kupitia be forward lakini clearing agent amtumie mwingine. hawa be forward wameelemewa na kazi wako vijana wengi tu waaminifu. kama utakosa clearing mwaminifu mwenye ofisi zinazoeleweka usisite kuwasiliana nami nitakupa mtu mwaminifu mtaelewana wenyewe.
Osaba said: Kama unataka kuagiza gari kwa kutumia kampuni ya Beforward ni vizuri ungewatumia na clearing and forwarding wao kwa sbb hawababaishi Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app Click to expand... mimi ushauri wangu aagize gari kupitia be forward lakini clearing agent amtumie mwingine. hawa be forward wameelemewa na kazi wako vijana wengi tu waaminifu. kama utakosa clearing mwaminifu mwenye ofisi zinazoeleweka usisite kuwasiliana nami nitakupa mtu mwaminifu mtaelewana wenyewe.
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,611 May 3, 2014 Thread starter #5 Mkuu matola nime ku PM
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 62,563 Reaction score 112,205 May 3, 2014 #6 comred said: Mkuu matola nime ku PM Click to expand... nimeona mkuu na nimeshakujibu kazi kwako tu.
joss1973 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2010 Posts 405 Reaction score 103 May 3, 2014 #7 mkuu tuwasiliane kwa cmu hii 0713 95 92 90 kuhusu clearing and forwarding