Target yangu sio ajira mkuu ila target yangu ni yale maarifa yanayotolewa huko chuoni mkuu wangu hata nikichukua certificate nikaona maarifa yananitosha basi nitaishia hapo sababu target yangu ni kuwa business owner Sasa huwezi ukaendesha biashara kienyeji itaishia kufa tu sasa hata kama una akiri za kuzaliwa nazo hata kama ni mjuzi wa elimu mtaani kuhusu biashara lakini ukipata maarifa ya huko chuoni yatanisaidia sana najua umuhimu wa cheti cha Form four lazma kiwe safi unapokuja kwenye swala zima la ajira lakini mimi silengi kwenye ajira mkuu naombeni msaada wenu wakuu.
ASANTE