Habari za Leo wanajamii forum? Naomba mwenye kujua chuo cha ualimu kinachotoa cheti cha elimu maalumu tukikiondoa chuo cha pandandi Arusha je kuna chuo kingine? Naomba mwenye kujua unaweza kunipa taarifa kupitia hapa kwa kubonyeza hapa chini
Sent using Jamii Forums mobile app
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.