....masharti mengine bhana;watu hawataki kukaa na wenye nyumba kuepuka kero,Room inahitajika tazara iwe na maji,na iwe ndani ya geti.kwa gharama isiyozid 70000 Awepo mwenye nyumba
Atuambie Anataka Mwenye Nyumba Wa Kiume Au Wakike Mwenzie?....masharti mengine bhana;watu hawataki kukaa na wenye nyumba kuepuka kero,
...wewe wataka kujitongozesha uwe wakaa bure?
Ukisema Tazara It Means BuguruniAtuambie Anataka Mwenye Nyumba Wa Kiume Au Wakike Mwenzie?
Namaanisha nyumba awepo muhusika sitak nyumba yenye wapangaji wengi....masharti mengine bhana;watu hawataki kukaa na wenye nyumba kuepuka kero,
...wewe wataka kujitongozesha uwe wakaa bure?
Au we unadhan Tazara ni pale kituo cha tren? ??tazara kubwa wwhe he he hivi tazara kuna nyumba za kupanga kweli????
shingap kodikuna chumba tazara ya kuondoka kesho kwenda kapilimposhi kama hutojari be my guest
Anahitaji maeneo ya mipakani na CHUO CHA PANYA ROADhe he he hivi tazara kuna nyumba za kupanga kweli????
....hapo kwenye wapangaji wengi ndo umesomeka maana uwepo wa mwenye nyumba hauguarantee kuwa na wapangaji wachache;Namaanisha nyumba awepo muhusika sitak nyumba yenye wapangaji wengi