ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,115 Dec 8, 2018 #1 Wadau kuna ndugu yangu anatafuta chumba kizuri self contained Tanga mjini kwaajili ya kupangisha. Maeneo ya chumbageni,donge,chuda au Tanga beach. Bei isizidi 60 elfu.
Wadau kuna ndugu yangu anatafuta chumba kizuri self contained Tanga mjini kwaajili ya kupangisha. Maeneo ya chumbageni,donge,chuda au Tanga beach. Bei isizidi 60 elfu.
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,226 Reaction score 27,063 Dec 8, 2018 #2 Nenda maeneo haya utapata Kange,Kasera,majani mapana,nguvumali kwa minchi au chumbageni Haya maeneo niliyoyataja yametulia hayana rabsha kama wewe hupendi mambo ya kiswahili sana Ila kange,kasera na nguvumali ni kuzuri zaidi All the bests
Nenda maeneo haya utapata Kange,Kasera,majani mapana,nguvumali kwa minchi au chumbageni Haya maeneo niliyoyataja yametulia hayana rabsha kama wewe hupendi mambo ya kiswahili sana Ila kange,kasera na nguvumali ni kuzuri zaidi All the bests
ZING SOKONI JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,512 Reaction score 57,115 Dec 8, 2018 Thread starter #3 Mazigazi said: Nenda maeneo haya utapata Kange,Kasera,majani mapana,nguvumali kwa minchi au chumbageni Haya maeneo niliyoyataja yametulia hayana rabsha kama wewe hupendi mambo ya kiswahili sana Ila kange,kasera na nguvumali ni kuzuri zaidi All the bests Click to expand... Okay poa Mkuu
Mazigazi said: Nenda maeneo haya utapata Kange,Kasera,majani mapana,nguvumali kwa minchi au chumbageni Haya maeneo niliyoyataja yametulia hayana rabsha kama wewe hupendi mambo ya kiswahili sana Ila kange,kasera na nguvumali ni kuzuri zaidi All the bests Click to expand... Okay poa Mkuu