MtanzaniaJeuriSr. Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 187 Reaction score 96 Nov 2, 2016 #1 Habari za majukumu waungwana? Natafuta chumba kimoja tu cha kupanga maeneo ya ubungo plaza kwa bei ya 50,000-80,000 kisiwe mbali na barabara ya kuelekea city centre. Mwenye nacho ani PM!
Habari za majukumu waungwana? Natafuta chumba kimoja tu cha kupanga maeneo ya ubungo plaza kwa bei ya 50,000-80,000 kisiwe mbali na barabara ya kuelekea city centre. Mwenye nacho ani PM!
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,905 Reaction score 42,073 Feb 3, 2018 #2 bado hujapata mkuu