Bonny Masih
Senior Member
- Apr 20, 2014
- 120
- 31
Maeneo ya Tegeta hadi Bunju
kodi kwa mwezi iwe sh.elfu 70
kodi kwa mwezi iwe sh.elfu 70
Maeneo ya tegeta hadi bunju
kodi kwa mwezi iwe sh.elfu 70
Ubungo Kibo, kipo double selfcontained, nyumba ni mpya. Fenced na milango ni grill njee, Maji yapo pia. Kodi 150 kwa mwezi unalipia miezi 6. Hakuna ya udalali hapa.
Mkuu mi nko laki vp naweza pata pa kujihifadhi.....
Fixed price haipungui, hii ni kwa seriuos rentors tu vyumba ni vikubwa sana ni 4.0 x4.0 mita
Niangazie hata kwingine mkuu nikajihifadhi na hili jua na mvua hzi za hapa dar
Watafte madalali watakusaidia mi sio dalali aisee.
ubungo kibo, kipo double selfcontained, nyumba ni mpya. Fenced na milango ni grill njee, maji yapo pia. Kodi 150 kwa mwezi unalipia miezi 6. Hakuna ya udalali hapa.
Umbali gani toka mandela road kuna wanachuo wanhitaji ,afu double selcontained ni nini kamanda!
walkable distance of hardly 10 minutes to rombo bus stop