Natafuta chumba na sebule Tabata, Dsm

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Natafuta chumba na sebule along maeneo kuanzia tabata-bima hadi tabata segerea....
kisiwe mbal na barabara...
kiwe self ....
jiko....
gpsum na tiles.
kiwe na maji
if possible kue na geti....
bajet laki ad laki na nusu
kwa mawasiliano npm
 

real lyf 2015

Senior Member
Aug 13, 2015
169
0
Natafuta chumba na sebule along maeneo kuanzia tabata-bima hadi tabata segerea....
kisiwe mbal na barabara...
kiwe self ....
jiko....
gpsum na tiles.
kiwe na maji
if possible kue na geti....
bajet laki ad laki na nusu
kwa mawasiliano npm

Utapata kijana...

Mtafute huyu mapena
 

imanihope

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
372
225
Mtoa mada naomba nijazie ombi langu,msaada single room self maeneo hayo hayo kiwe katika hali nzuri! 0713715772,bajet yangu isizid 80 elfu per month!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom