Natafuta chumba master Dsm

Natafuta chumba master Dsm

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,291
Reaction score
4,671
Wakuu natafuta chumba kimoja master...kiwe maeneo ya Tabata au Kinyerezi...Bei iwe kwenye range ya elfu 50 mpaka elfu 70 miezi 6..Isiwe mabondeni wala isiwe na masharti mengi mimi ni bachelor.

Mwenye taarifa au mwenye chumba aniPM .
 
Mkuu umenichekesha sana vyumba unatafutia Jf?.mm naishi tabata hebu pitia Kilimanjaro hiki ndio kijiwe kikubwa cha madalari tbt nenda kwa bibi segerea mwisho na kituo kimoja kabla hujafika kinyerezi mwisho kuna madalari hapo pote nilipokutajia.madalari wengi hawaingii humu labda upate bahati mtu ana nyumba yake
 
Back
Top Bottom