Natafuta chumba maeneo ya ubungo

Blues1

JF-Expert Member
Feb 14, 2015
663
1,412
Habari wanajamii forum. Natafuta chumba single maeneo ya ubungo kisiwe mbali zaidi ya dk10 na barabara pia nyumba iwe na hali nzuri pamoja na maji ndani. Bajeti yangu ni elfu 50 kwa mwezi. Kisiwe na udalali
 
Bila madalali kupata chumba ni kwa tabu sana humu dar es salaam
 
Duuhh ubungo ubate chumba cha 40 labda liwe banda la kuku sio chumba, bei hizo katafute chumba kwa mtogole au manzese
Nashukuru kwa aliyenipa ushirikiano nmepata chenye sifa zote ninazotaka tena ni self contained. Nanyie mlokuja mjini juzi mnadhani ubungo ni masaki basi poleni chunguzeni vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom