zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,228 Reaction score 39,775 Oct 22, 2019 #1 Habari za kazi wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna dogo anakuja Dar kujiunga na masomo so namtafutia chumba/Hostel eneo tajwa hapo; hasa mabibo mpaka ubungo hicho kipande. Kama kuna dalali humu au mwenye nyumba naomba anichek PM.
Habari za kazi wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna dogo anakuja Dar kujiunga na masomo so namtafutia chumba/Hostel eneo tajwa hapo; hasa mabibo mpaka ubungo hicho kipande. Kama kuna dalali humu au mwenye nyumba naomba anichek PM.
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,144 Oct 22, 2019 #2 Nimekuja mbio kunbe nimesoma vibaya nilijua unatafuta mchumba maeneo ya mabibo tehe tehe WAZINZI BUANAA. UTATUJUA TUUU.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuja mbio kunbe nimesoma vibaya nilijua unatafuta mchumba maeneo ya mabibo tehe tehe WAZINZI BUANAA. UTATUJUA TUUU.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr Confidential JF-Expert Member Joined Jul 1, 2018 Posts 1,545 Reaction score 2,482 Oct 25, 2019 #3 Ingia kwenye magroup ya WhatsApp ya freshers