Kaluluma JF-Expert Member Joined Mar 7, 2019 Posts 474 Reaction score 622 Mar 30, 2020 #1 Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa. Natanguliza shukrani🙏
Nahitaji chumba Dodoma kuanzia maeneo ya chuo cha mipango (miyuji) mpaka usawa wa mnadani, bajeti yangu ni 50000 naweza kulipa mpaka miezi mitatu kwa kuanzia, ikiwezekana ainisha na sifa za chumba hapa. Natanguliza shukrani🙏