Natafuta chumba chenye choo ndani.

Natafuta chumba chenye choo ndani.

Ukatuni fulufulu hapa,

Kwani Utu uzima mapesa ngapi?
 
Ukiwa unapost humu jambo lako kama una roho changa unaweza changanyikiwa na kukatishwa tamaa kabisa na wapuuzi wotee waliongea ujinga haswa wale waliotaka kukatisha tamaa kuwa jambo hili halitawezekana kwa gharama ile.

Nimepata self contained with one sitting room shame on you satan agents me am prospering na mpaka sasa napigiwa simu nikaangalie vyumba vingine.

Nyumba nishapata maji umeme security poa kabisaaa.
 
Kuna chumba uwanja wa fisi kina choo cha shimo ndani
Ukiwa unapost humu jambo lako kama una roho changa unaweza changanyikiwa na kukatishwa tamaa kabisa na wapuuzi wotee waliongea ujinga haswa wale waliotaka kukatisha tamaa kuwa jambo hili halitawezekana kwa gharama ile.

Nimepata self contained with one sitting room shame on you satan agents me am prospering na mpaka sasa napigiwa simu nikaangalie vyumba vingine.

Nyumba nishapata maji umeme security poa kabisaaa.
 
Uhakikishe baada ya kuwasiliana nae,hiyo id yako utupilie mbali la sivo kunyea ndoo kutakuhusu,wengine humu ni mashushushu.
U so brave man thanks. Ila sipo na interest ya kuwanyea labda wakitaka ushauri kwa akili yangu chache nilio nayo nitawapaaaa . Asante sana kaka.
 
Kwa bei hiyo labda uende Nanjilinji Kilwa
Ukiwa unapost humu jambo lako kama una roho changa unaweza changanyikiwa na kukatishwa tamaa kabisa na wapuuzi wotee waliongea ujinga haswa wale waliotaka kukatisha tamaa kuwa jambo hili halitawezekana kwa gharama ile.

Nimepata self contained with one sitting room shame on you satan agents me am prospering na mpaka sasa napigiwa simu nikaangalie vyumba vingine.

Nyumba nishapata maji umeme security poa kabisaaa.
 
Mi nina choo kikubwa tu unaweza pata nafasi ya kukweka kitanda. Hapo itakuwa umepata unachotaka isipokuwa kwa kinyume tu, yani choo chenye chumba. Kodi 50,000 nicheki 0633355585
Ukiwa unapost humu jambo lako kama una roho changa unaweza changanyikiwa na kukatishwa tamaa kabisa na wapuuzi wotee waliongea ujinga haswa wale waliotaka kukatisha tamaa kuwa jambo hili halitawezekana kwa gharama ile.

Nimepata self contained with one sitting room shame on you satan agents me am prospering na mpaka sasa napigiwa simu nikaangalie vyumba vingine.

Nyumba nishapata maji umeme security poa kabisaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom