Kwa bei hiyo labda uende Nanjilinji KilwaNatafuta chumba chenye choo ndani kwa mwezi isizidi 70,000/= nicheki hapa 0653242627
Kaka kipo. Ila maeneo ya majoheNatafuta chumba chenye choo ndani kwa mwezi isizidi 70,000/= nicheki hapa 0653242627
Ndugu,usipende kujisaidia chumbaniNatafuta chumba chenye choo ndani kwa mwezi isizidi 70,000/= nicheki hapa 0653242627

Chumba chenye choo maana yake nini? Hakuna choo kisicho ndani ya chumbaNatafuta chumba chenye choo ndani kwa mwezi isizidi 70,000/= nicheki hapa 0653242627
Unataka awe anajisaidia baharini au kwenye rambo?Ndugu,usipende kujisaidia chumbani![]()
![]()
![]()
Sio chimbila b?Kuna chumba Mbekenyela
Mwanza vipo viwili kimoja kipo nansio ukerewe kina choo ndani na kingine nyakato lakini vingine vitatu vipo mbeya kimoja kipo tukuyu na kingine kipo mbalizi vyote vina vyoo ndani, pia vingine vipo kigoma kakonko na kingine kasulu vyote vina choo na bafu ndani na kuna kingine kipo arusha unga limited ni kizuri kina choo ndani na vingine viwili vipo uyui , na vingine vipo songea pale lizaboni kimoja na bomba mbili kimoja vyote vina choo ndani.Natafuta chumba chenye choo ndani kwa mwezi isizidi 70,000/= nicheki hapa 0653242627
Ye ndo kaanzisha utan maana kaandika ujingaMnaleta utani kwenye basic need ya binadam mwenzenu