Natafuta chumba cha kupanga

Natafuta chumba cha kupanga

ZIRO

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2014
Posts
896
Reaction score
659
Wanajukwaa za jioni:

Mwenzenu natafuta chumba cha kupanga self contained maeneo ya Chang'ombe karibia na DUCE uwanja wa Taifa. Kuwe na maji ya uhakika na kodi kwa mwezi isizidi 150,000/= Tshs.

Naombeni msaada wenu
 
Unapotaka chumba usichague eneo 1 kama huko hawajajenga kama unavyotaka? njoo Kinondoni mkwajuni piga no hii 0768334637 utapata chumba hicho
 
Yah ndo maana nkasema maximum 150,000= sio lazima iwe bei hiyo, ambacho kiko self contained
 
Me nataka maeneo hayo sababu ni karibu na ofisi,kinondoni mbali sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom