Natafuta chumba cha kupanga

hakuina namba ya simu hakuna chumba kiweje hakuna dau uklilonalo ndugu yangu utapata kweli?
 
hakuina namba ya simu hakuna chumba kiweje hakuna dau uklilonalo ndugu yangu utapata kweli?

Chumba cha kawaida cha kutosha kitanda cta kwa cta, dressing table, meza ya tv na vyombo. Kuhusu namba ya cm labda mtu akini pm km ana hcho chumba.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…