Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kigamboni

kitariko

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
462
Reaction score
420
Jamani ndugu zangu mi ni mgeni hapa mjini natafuta chumba ambacho ni self Contained , kiwe maeneo ya Mji Mwema , Mikadi , Maweni chadibwa ilmradi kiwe along barabara ya kigamboni to Mji Mwema, ni hayo tu ndugu zangu ,kama unacho naomba uni PM.
 
Mkuu, kuna chumba self contained kipo kisota 7km toka feri chumba kisebule jiko na choo. Umeme na majI
Vipo. Bei 270,000 unalipa kodi ya miezi 3. Tuwasiliane 0657145555 dalali
 
Jamani ndugu zangu mi ni mgeni hapa mjini natafuta chumba ambacho ni self Contained , kiwe maeneo ya Mji Mwema , Mikadi , Maweni chadibwa ilmradi kiwe along barabara ya kigamboni to Mji Mwema, ni hayo tu ndugu zangu ,kama unacho naomba uni PM.

Mambo mkuu vyumba vipo katika nyumba yangu self contained na kuna kijiko chake pia kwa laki tu kwa mwezi. Njoo uwone maeneo ya Tuamoyo karibu na maeneo mikadi beach. Karibu 0687672672
 
Mkuu umenigusa hata mimi nahitaji lakini atleast kuwe na geti kwani nataka kulaza gari je eneo lipo
 
Jamani ndugu zangu mi ni mgeni hapa mjini natafuta chumba ambacho ni self Contained , kiwe maeneo ya Mji Mwema , Mikadi , Maweni chadibwa ilmradi kiwe along barabara ya kigamboni to Mji Mwema, ni hayo tu ndugu zangu ,kama unacho naomba uni PM.
Baadhi ya vyumba vimeachiwa mwenye kuhitaji aje tuelewane namba yangu 0687672672.
Karibuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom