Natafuta chumba cha kupanga-kinondoni

jruru80

Senior Member
Mar 31, 2011
139
10
Poleni na majukumu wapendwa wana JF wote.

Ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kinondoni (Moroco au hapo block 3 karibu na biafra).Kwa yeyote mwenye taarifa au ana chumba anapangisha naomba uniPM.

  • Pawe na maji na umeme.
  • Self contained.
  • Isiwe nyumba yenye wapangaji wengi.

Natanguliza shukurani na Mungu awabariki.

jruru80.
 
madalali wanaeleweka.unampa hela ya mwezi mmoja,na hela ya mguu.lakini hiyo sehemu unayotafuta wewe inajaa maji.namaanisha mvua ikinyesha maji yanatuama.tafuta maeneo ya block 41.madalali watakusaidia.mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom