Natafuta chumba cha kupanga Katesh Manyara

Natafuta chumba cha kupanga Katesh Manyara

Ibusai

Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
40
Reaction score
4
Habar wadau,
Ninatafuta nyumba ya kupanga kateshi mkoan manyara, vyumba viwil na sebule, kuwepo na huduma ya umeme na maji na security ya kutosha! Kama upo tayar kwa hlo naomba unipm nitakutafuta. Majukumu mema wakuu!
 
Back
Top Bottom