PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Wanajamvi Heshima Mbele!
Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni.
Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem ambapo nitapata usafiri wa moja kwa moja hadi kazini kwangu.
Chumba kiwe na umeme na maji au km maji hamna yawe yanapatikana jirani.
Sio lazima kiwe self -contained.
Bei ni 25,000/= hadi 30,000!
Kwa mwenye Taarifa tuwasiliane kupitia 0718-257680.

hiyo bei ndugu!!! Umetoka mkoa gani kwani?
baba jipange upya ndo uje dar.
Kwani we unaona zimefanana na mkoa gani?
GREAT THINKER jaribu kuwa wastaarabu basi pale mtu anapohitaji kitu mfahamisheni kwa usahihi na sio kumkejeli. Si kila kitu unazaliwa unakijua!
Hizo sehemu ulizotaja na hy pesa..mh labda mabondeni au nyumba choka. Mbaya.Kama hy bajeti ni fixed jaribu maeneo ya Mbagala,Gongo la mboto, Kimara, Banana na sehemu za mbali kidogo.
Wanajamvi Heshima Mbele!
Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni.
Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem ambapo nitapata usafiri wa moja kwa moja hadi kazini kwangu.
Chumba kiwe na umeme na maji au km maji hamna yawe yanapatikana jirani.
Sio lazima kiwe self -contained.
Bei ni 25,000/= hadi 30,000!
Kwa mwenye Taarifa tuwasiliane kupitia 0718-257680.
Mwambieni ajipange kwa sh ngap siyo kumzodoa. Msaidieni