Natafuta chumba cha kupanga Dar

Natafuta chumba cha kupanga Dar

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,875
Reaction score
10,199
Habari wana jamvi,

Natafuta chumba cha kupanga sehemu yoyote kwa Dar ambayo nitapanda gari moja tu kufika mjini pia huduma za maji ziwepo pamoja na umeme na kiwe chumba kizuri na isiwe nyumba iliyokwenye fujo au wapangaji wengi. Nitatoa hela ya mwezi mmoja tu kwa dalali na si vinginevyo.

Asanteni
 
vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
 
Kwanini unakodisha kwa wanawake tuu? Tena walio single?! Umeweka na age limit?

Hivyo ni vyumba vya kupanga au ni mitego ya kuwakamatia wadada?
 
vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
Kwanini usimpangishie yule dada yako anayeteseka kwenye nyumba za watu?
 
kuna chumba na sebule na choo ndani ila maji unachota nje na kuhusu umeme tuna share, ni laki moja kwa mwezi na unapanda magari mawili mpaka town
 
vip wewe ni mwanamke au mwanamke.. Mimi natoa ofa kwa vyumba self contained, maji yapo umeme, ndani vigae, madirisha alluminium..gari inafika mpaka ndani vyumba vipo mjini kabisa kodi sh 20,000 kwa mwezi.. Masharti nakodisha kwa mwanamke tuu aliye single age/umri(18-23), haruhusiwi kuingiza mwanaume ndani ya nyumba yangu... Karibuni sana wadau
mmmh sema unataka mke tu alafu domo zege[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
kuna chumba na sebule na choo ndani ila maji unachota nje na kuhusu umeme tuna share, ni laki moja kwa mwezi na unapanda magari mawili mpaka town
naweza kuona japo picha zake coz naweza change mawazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom