Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 Dec 3, 2014 #1 Kichwa cha habari kinajieleza. Kiwe na umeme maji kiwe Kati Kati ya mianzini na Triple A au Ngarenaro bei isizidi 40,000/= kwa mwezi
Kichwa cha habari kinajieleza. Kiwe na umeme maji kiwe Kati Kati ya mianzini na Triple A au Ngarenaro bei isizidi 40,000/= kwa mwezi
Chilli JF-Expert Member Joined Jul 17, 2011 Posts 1,655 Reaction score 746 Dec 3, 2014 #2 Fika Mianzini kwenye mataa, karibu na Supermarket kuna kijiwe cha wacheza draft. Nenda hapo ulizia dalali wa vyumba anaitwa Ras mwingine anaitwa Koli watakusaidia.
Fika Mianzini kwenye mataa, karibu na Supermarket kuna kijiwe cha wacheza draft. Nenda hapo ulizia dalali wa vyumba anaitwa Ras mwingine anaitwa Koli watakusaidia.
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 Dec 3, 2014 #3 ilboru hupend karb na unless pub
Mshumaaa Senior Member Joined Sep 26, 2012 Posts 156 Reaction score 17 Dec 5, 2014 Thread starter #4 Huko itakuwa mbali mi niko Arusha Technical