george chambila Member Joined Sep 27, 2014 Posts 27 Reaction score 2 Mar 16, 2015 #1 Nipo Dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa Dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hicho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
Nipo Dodoma mjini ninahitaji kupata chumba kwaajili ya biashara kwa wale watu wa Dodoma naombeni mnisaidie kutafuta chumba hicho kiwe katikati ya mji yani naombeni msaada wenu wadau.
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Mar 16, 2015 #2 sio jukwaa lake umebugi
george chambila Member Joined Sep 27, 2014 Posts 27 Reaction score 2 Mar 17, 2015 Thread starter #3 jukwaa pake ni lipi