Chuma[emoji34][emoji34][emoji34]
I st wonder tooheading ndo imenileta kwenye uzi wako. eti chuma?
Chuma cha pua au cha aina gani mkuu?Habari wakuu Natafuta Chuma kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...
Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.
Bajeti: 100,000
Kama una chumba Nicheki PM
Sent From My Nokia Ya Tochi
Dakika 7 - 10 kutembea mpaka Nyuki bus station