Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,649 Reaction score 3,817 Jul 30, 2015 #1 Wadau, Samsung nayotumia inachagua sana chaja na hizi za kawaida ambazo fei ni nyingi inazibagua sana. So mwenye chaja ya blackberry zile kubwa kubwa za zamani aniuzie.
Wadau, Samsung nayotumia inachagua sana chaja na hizi za kawaida ambazo fei ni nyingi inazibagua sana. So mwenye chaja ya blackberry zile kubwa kubwa za zamani aniuzie.
Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 174 Jul 31, 2015 #2 I experienced the same problem but jaribu hta zile za tecno ukiipata iliyotoka na cm kwangu ndo ilikuwa muarobaini.
I experienced the same problem but jaribu hta zile za tecno ukiipata iliyotoka na cm kwangu ndo ilikuwa muarobaini.
Kaputupu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,486 Reaction score 1,179 Jul 31, 2015 #3 Mkuu mbona kujua original na feki kwa charger za samsung ni easy... Acha zile zenye usb na kichwa.. Tafuta ile ya moja kwa moja.. Ni ndefu sana.. Ukiwa na neno la samsung na waya wake ukiugusa unakuwa kama unateleza hivi...
Mkuu mbona kujua original na feki kwa charger za samsung ni easy... Acha zile zenye usb na kichwa.. Tafuta ile ya moja kwa moja.. Ni ndefu sana.. Ukiwa na neno la samsung na waya wake ukiugusa unakuwa kama unateleza hivi...