Natafuta cassette adapter Dar

Me Ninayo umeandaa Million ngapi nikuuzie na receipt nakupatia ila kumbuka ni used naitumia sometimes hadi waya umakatika katika na nimeuunga unga ila inadetect fresh sterio nikiunga kwenye simu yangu naburudika kwa big sound ya Radio yangu
 
Hebu nenda mtaa wa msimbazi na congo, pale wanapouza remote zabtv na mazagazaga ya electronics
 
Me Ninayo umeandaa Million ngapi nikuuzie na receipt nakupatia ila kumbuka ni used naitumia sometimes hadi waya umakatika katika na nimeuunga unga ila inadetect fresh sterio nikiunga kwenye simu yangu naburudika kwa big sound ya Radio yangu

Natafuta mpya chifu
 
Natafuta mpya chifu
Mpya nadhani zinapatikana Madukani na kwa Miaka hii kazi unayo..Me yangu niliambulia kutoka kwa Mhindi aliachia nyumba akaacha mazaga zaga ikiwepo hii nikapeleka watu wasafishe ndipo nikaikuta nilishangaa sana maana Tokea niione kwa Bro wangu Arusha Miaka 15 iliyopita... si Mchezo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…