Kaka utaambulia mchina tu... Camera ni zaidi ya Mega Pixel bwana. Kama vipi Save pesa ujichange upya mwakani mwezi kama huu unaweza kua na Laki 3 angalau upate Camera.
Kwahiyo pesa huwezi pata. Mara mia uongezee ununue tu simu kali.
Mchina mjanja sana, kishaona Watanzania wanajua Megapixel. Utaletewa Camera ina 18MP ila ikipigwa picha inapotezwa na Nokia Asha 502