Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Ni bei gani unaiuza?mi ninayo sony
900,000tsh nitakupa complete mpya.habari wanajamvi
jamani mwenzenu natafuta mojawapo ya camera hizi:
canon d1100 au sony 5100
nahitaji ya bei ya chini kadri iwezekanavyo ila mpya.
laki 2. maongezi hakuna.Ni bei gani unaiuza?
Hakuna shida kama hakuna maongezi. Niwekee picha tu basi.laki 2. maongezi hakuna.
Hakuna shida kama hakuna maongezi. Niwekee picha tu basi.
we kweli juhaHakuna shida kama hakuna maongezi. Niwekee picha tu basi.
Nataka picha ya hiyo camera, walioitengeneza walishaipiga zaidi mara milioni, we wa wapi?mmmh,sijui ataipigaje!!au camera inaweza kujipiga picha!
Usinitafutie ban isiyo na sababu, ujuha wangu upo wangu unakujaje hapa? attach picha ya hiyo camera unayotaka kuniuzia shida ipo wapi?we kweli juha
ha!ha! pole mkuu sasa nimeshindwa kuipiga picha kama uko dar njoo hapa kino kwa manyanya uione nipigie 0657145555Usinitafutie ban isiyo na sababu, ujuha wangu upo wangu unakujaje hapa? attach picha ya hiyo camera unayotaka kuniuzia shida ipo wapi?
Powa, nitapita kesho kama saa kumi hivi jioni, ila katika kituo cha daladala cha manyanya, sawa mkuu?. nitakutumia sms kabla.ha!ha! pole mkuu sasa nimeshindwa kuipiga picha kama uko dar njoo hapa kino kwa manyanya uione nipigie 0657145555